Kanisa la CCC Upanga lililopo
mkabala na tawi la Chuo cha Mzumbe Dar es salaam siku ya J/pili ya Tarehe
6/4/2014 wana kukaribisha kwenye event ya “Praise the Lord Concert” itakayo
anza majira ya saa nane mchana na kuendelea.Event hii imebeba ujumbe
UNCONDITIONAL LOVE kutoka katika kitabu cha 1 Wak 13:1.Wote mnakaribishwa hakuna kiingilio.
Mazoezi yakiendelea
Pastor Sam akifundisha kikosi cha kazi kitakacho hudumu J/pili hii.
UNCONDITIONAL LOVE kutoka katika kitabu cha 1 Wak 13:1.Wote mnakaribishwa hakuna kiingilio.
Mazoezi yakiendelea
Pastor Sam akifundisha kikosi cha kazi kitakacho hudumu J/pili hii.
0 comments: