Wiki iliyopita kwaya ya Ukombozi Msasani ilikua na ibada ya shukrani ya pekee iliyo ambatana
na kuwa tembelea wagonjwa hospitali ya Mwananyamala,kutoa huduma ya usafi wa mazingira nk.Uzinduzi wa shukrani ulianza majira ya asubuhi ambapo Mchungaji kiongozi alimuita mwenyekiti wa kwaya kusema maneno machache ya shukrani pamoja na kukabidhi CD maalum kama alama ya kuadhimisha shukrani hiyo.Baada ya matukio yote kumalizika kulifatia chakula cha pamoja kwa wachungaji,marafiki pamoja na wadau mbalimbali.

Maombi kwanza.
Kwaya ya Ukombozi wakisema neno kwa wagonjwa.
Kijana wa nguvu Erick Mchome akitoa baadhi ya vitu walivyo nunua.
Kama kawa
Wakati wa Chakula
0 comments: