Tuesday, April 8, 2014

JIADHARI NA MTU HUYU ANAYETUMIA JINA LA ROSE MUHANDO KUTAPELI WATU.

By Jimmy  |  9:42 AM No comments

 Yuko mtu nayetumia jina la Rose Muhando kutapeli watu kupitia mtandao
wa facebook,mtu huyu ambaye amesha waumiza watu wengi kutokana na utapeli wake wakutumia (JAKAYA FAUNDATION).Siku ya jana niliweza kuchati naye na kubaini hilo mdau wangu......blog ilimtafuta Rose Muhando na kututhibitishia yuko na account moja iliyofunguliwa na kampuni ya SONY MUSIC ENTERTAINMENT ambayo kwa sasa anafanyanayo kazi kwa mkataba wa miaka mitano.Hivyo basi mdau wangu account zingine zote siyo za Rose Muhando kuwa makini na mitandao ya kijamii kwani matapeli wamo.
 Utapeli mtupu mwee!!

Hii ndio offical page ya Rose Muhando inayomilikiwa na kampuni ya Sony Music intertainment.
 Maelezo zaidi ya Biography.







Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP