Judith Kisimba ni muimbaji wa mziki wa injili Tanzania akiwa ametokea nchini Congo,kwa sasa yupo na kiwanda cha utengenezaji wa video "Eagle view production" kinacho milikiwa na director
Debro Gabriel.Ziko picha saba wakiwa location kwenye hatua za mwisho za umaliziaji wa video hii iliyo gharimu dolla 500.
Director Debro akifanya seting
0 comments: