Kama unapata bahati ya kukutana na Beatrice Muhone moja kati ya waimbaji wenye mvuto,huta acha kusema she so Cute.Nilitaka kujua siri ya yeye kuonekana mrembo mpaka muda huu lingali najua
amekwenda age.Kupitia namba yake ya 0752 61.....nika mtafuta kwenye WhatsApp na maongezi yetu yalikua kama ifatavyo.
Uncle-Mambo Mamii
Beatrice-Nzuri Uncle Jimmy.
Uncle-Habari za siku nyingi,za Arusha.
Beatrice-Ni nzuri Kaka yangu,sema mvua na baridi kali kweli.
Uncle-Ok!Nina maswali mawili Mamii.
Beatrice-Niulize.
Uncle-Am very sorry for this Qn.Mpaka sasa unaumbri wa miaka mingapi,pili the way ulivyo your so beautiful na kija kabisa.
Beatrice-Aa aaaaa Uncle bana umeanza mambo yako.
Uncle-Kweli Mamii unaonekana mrembo na kabinti mwenzangu.
Beatrice-Iknow Beatrice is unique,the way Mungu alivyoniumba,my figure naitunza kwa mazoezi sana,members wa gym miaka 7 sasa,sifa na utukufu ni kwa Yesu najua am very beautiful.
Uncle-Hongera sana Mamii.So mazoezi unafanya marangapi kwa wiki,na unakula chakula gani.
Beatrice-Ninapenda sana kufanya mazoezi ya viungo kama nilivyo kuambia,napenda kuwa na afya ya mwili na pia kuweka figure yangu katika hali inayovutia,ni member wa gym miaka 7 sasa bila kukosa.Naingia mara 4 kwa wiki.Nimeona Mungu akinitia nguvu fresh every day katika maisha,najisikia mcheshi mwenye raha,furaha naishi bila strees.Furaha ya Mungu ndo nguvu yangu biblia inasema.
Uncle-Daa uko vizuri Mamii...Aaa unaweza kuniambia unakula chakula gani.
Beatrice-Nakula kila siku na kila kitu Uncle.Nisamehe kwa sasa niko gym sitaweza kuandika kila kitu.......
Uncle-La mwisho Mamii wadau wanapenda kujua Mungu amekupa watoto wangapi,na ukiacha mziki nini unafanya.
Beatrice-Hiyo inatosha Uncle niko gym.Ya family tuyaache.
Uncle-Ok fine Mamii Asante.
Picha zote kutoka WhatsApp mdau wangu....kama una swali kwake Like page yetu ya Chomoza ya Clouds TV then tupia swali lako.
www.granagospelnews.blogspot.com
ReplyDeleteHuyu Dada ni kutoka wapi maana naona kama vile Kenya but not sure
ReplyDelete