Friday, October 11, 2013

MWANAMUZIKI WA GOSPEL "MWATSHY" KUTOKA UGANDA, KUTUA TANZANIA HIVI KARIBUNI.

By Jimmy  |  5:17 PM No comments

 Mwanamuzi kutoka Uganda anayefanya vizuri kupitia kazi zake mbalimbali za muziki wa injili, leo amezungumza na blog hii kueleza jinsi alivyojiandaa kuja Tanzania soon kama sehemu ya
mwaliko rasmi kutoka kwa Mr Jimmy wa kampuni ya Msama promotion.Mwatshy ambaye ameanza
kupenya kwenye soko la muziki wa Tanzania kwa wimbo wake wa 'Rafiki' akiwa ameimba kwa lugha ya kiswahili,huku video yake yenye muonekano mzuri ikiwa imeanza kuchezwa kwenye vituo mbalimbali vya TV kama Clouds TV kupitia kwenye kipindi cha Chomoza.

Mwatshy kwa sasa yupo kwenye maandalizi makubwa ya uzinduzi wa audio yake itakayofanyika mwakani mwezi wa pili itakayowakutanisha waimbaji mbalimbali wa muziki wa gospel Tanzania na Uganda.Mdau wangu endelea kufatilia blog hii na tutakuletea new song ya Mwatshy hivi karibuni.Picha zote hizi ni za event aliyofanya Uganda kwenye hotel ya Serena Kampala.





Mdau wangu tizama video ya Mwatshy hapo chini...

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP