.
Blogger Ambwene Michael na Christina Shusho.
Kilio changu kila siku waimbaji wa muziki wa injili wabadili uelekeo wao
hasa katika kutengeneza video zenye ubora mzuri.Leo nikipiga story na
Christina Shusho kupitia Chomoza ya Clouds Tv amefunguka na kueleza wazi
gharama ya utengenezaji wa video yake
"Nataka nimjue" ametumia milioni 4
hadi kukamilika.Video hii imetengenezwa na kampuni kubwa nchini Kenya
(Link Video Global) chini ya director wa mkubwa J Blessing.Msikilize
Christina Shusho akizungumza na mimi na tazama video hiyo.Muziki wa
injili nao unahitaji ubora kuanzia utunzi,production ya audio na video
kwasababu ndiyo itakayokutangaza kimataifa
Msikilize Christina Shusho akieleza kwa nini ameamua kutumia milioni 4 kutengeneza video moja hapo chini.
Shusho love you dear love u much I wish u only knew how much u inspire me...may the Lord bless you dear...
ReplyDelete