Kupitia udhamini wa Chomoza ya Clouds tv hili ni tamsha la One Song lililo kutanisha nchi tano Tanzania,Kenya,Uganda,Rwanda na Burundi.Tamasha hili la makanisa ya Anglikana kila mwaka ufanyika nchi tofauti tofauti kwa lengo la kukutanisha vikundi vya uimbaji kwa pamoja.Mfumo wanao tumia ni mfumo wa kwaya unao kutanisha waimbaji wengi kwa pamoja tofauti na uimbaji wa mtu mmoja mmoja.Mgeni rasmi katika tamsha hili alikua Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana nchini, Dk Valentino Mokiwa.Tamasha hili lilifanyika CCC UPANGA
Kikundi kutoka tanzania kikiimba wimbo wa taifa.
Kwaya kutoka Kenya walikuwepo.
Mr &Mr Zakayo Magulu a.k a Baba kijacho hawakupitwa.
Nikifanya mahojiano ya Chomoza ya Clouds tv na Askofu Dr.Valentino Mokiwa wa makanisa ya Anglikana tanzania.
Nikizungumza na mwenyekiti wa Afrika mashariki mwenyeji wa Kenya.
Kulia ni mc Godwin Gondwe hakua peke yake alikua na Ritha Chuwalo.
Picha mbili ni mahojiano yangu na muimbaji wa DPC kabla ya kuelekea kwenye tamasha la One song.Story kamili ya muimbaji huyu wa nguvu mdau wangu soon inakuja.
0 comments: