Mtoto wa pili wa Bishop Kakobe a.k.a Kichawa Ezekiel akiwa na mmoja wa wataalamu wa muimbaji Don Moen.
Kundi la Krystaal wakiwa na Don Moen
Kichwa Ezekiel akiwa na The Don
Picha zinazo fata ni maeneo ya Toronto Canada ambapo watoto wa Bishop Kakobe wakitalii na kuona mji ulivyo.
Hapo je!mnasemaje....
Mtoto wa Kwanza wa Bishop Kakobe Sifa.Hapa sijui kama alikuwa anaelewa alichokuwa akiulizwa.Busy na Facebook
Mtoto wa Tatu wa Bishop Kakobe Grace Kakobe akionekana kwa mbali
Mtaalamu Ezekiel.
Grace mwenye nguo nyeusi na tabasamu safii sijui alikua anamshanga mpiga picha au majengo?
kwa kweli tulibarikiwa sana kuwa nao hapa Toronto na mzee bishop alihubiri injili safi isiyochakachuliwa na isiyo na utata ,ilikuwa vema sana sana na hakukuwa a matatizo yoyote bali nguvu ya bwana Yesu iliokoa na kuponya wengi
ReplyDelete