Monday, May 27, 2013

SAFARI YA CHOMOZA ILIPO ANZA NAINAKO KWENDA.

By Jimmy  |  9:33 PM No comments

 Tulipoa anza safari hii haikua rahisi kama vile unavyo ona sasa.Uko usemi wa waswahili
unaosema mvumilivu ula mbivu au popote pale penye mafanikio hapakosi changamoto 
nasema hivi kwa maana ya kwamba, mpaka hapa tulipo fikia tunamshukuru Mungu kwani
yapo mambo mengi tuliyopitia kiasi cha kwamba kama tusingekuwa na malengo, nia yadhati
na uvumilivu wa hali ya juu, tungeshindwa.

Hawali ya yote tungependa kutowa shukrani
zetu za dhati kwa kaka. Fred William kwa mchango wake wa dhati aliotupatia 
 vifaa vya ofisi yake kama sehemu ya kwanza tulipoanza. Gospel la kitaa! ambapo leo
inajulikana kama Chomoza.Usikose safari hii itakayo kujia kupiti blog yako 
 
Matayarisho ya vifaa ndani ya studio.
 
Studio ya kwanza ya utengenezaji wa kipindi hiki ilikua sinza.Kama unavyo muona camer man akiwa kikazi.

Muimbaji John Lisu alikua msaada mkubwa kwetu mara zote tulipokua tuna muita akusita kuamka mapema na kuja.Mungu azidi kumpandisha viwango hadi viwango.

Twende sawa.
Kama kawa kama dawa nikiuza maneno na pacha wangu.

Mr Fred William mkurugenzi mwenyewe akikusanya vifaa vya kazi baada ya kumaliza GLK wakati huo.



Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP