Mtangazaji wa show ya Cloud9 D-Andy na Programme manager wa Cloud TV Lee
Siku ya jana Clouds TV ilikua ikikaribisha msimu mpya wa mwaka 2013.Katika live hiyo iliyohusisha vipindi vyote vya CloudsTV kutoka Hotel ya Escape1 iliyoko pembezoni mwa bahari ya hindi ndiko tukio nzima lilifanyika kuanzia majira ya saa 4 asubuhi hadi saa 4 usiku.
Viko vipindi vingi vinavyojulikana na vingine vipya vilivyo ingia katika msimu mpya wa 2013.Kama kawaida watangazaji wa Clouds TV walikwenda sawa wakionyesha msimu mpya na jinsi gani wamejipanga kufanya kweli kupitia Tv ya watu.Chomoza nikipindi kipya cha Gospel kinacho tazamiwa kuwa kipindi bora cha Gospel kwa mwaka huu,kwani ujio wake umekua mzuri na wenye uwezo mkubwa kutamba kwenye TV yako kupitia Clouds TV.
Kijana wangu mbishiii Samuel Sasali a.k.a Chomoza Mtaani.
Nikiwa mwenye furaha kubwa siku ya jana baada ya Chomoza kuingia kwenye msimu mpya kupitia Clouds TV. Kwa hisani ya watu wa chomoza mpendwa kua macho na kipindi hiki kuweza kujionea ubunifu wa hali ya juu katika kufanya mapinduzi ya Gospel
Producer wa Clouds E na Bibi Bomba "Benny" katikati na Nickson George presenter wa D'Wikend Chat show
Qhwiser wa Dwiked Chat Show
Antonio Nugaz wa Kambi Popote na Zamaradi Mketema wa Take1
The Voice
Msoma habari za michezo Wilberforce Ngoto
Sakina Waliyoka mama wa dawa yao kutoka Ng'aring'ari
Mimi na Janet wa Ongea Na JanetSakina Wa Lyoka
Cameraman Mturi
Boss wa Radio Mr Sebastian Maganga na Doreen
Mwana Dar es salaam "Musa Hussein" na Siza Daniel wa Clouds E
Wanafamilia wa Clouds TV wakipata msosiMasanja Mkandamizaji alikuja ku-show love Chomozaaa!!
DJ PQ
Team ya Chomoza
0 comments: