Wiki hii katika Chomoza ya Clouds tv tumefanya maojiano na Apostle Ndegi pamoja na muimbaji wa Bongo fleva Barnabas.Yapo mengi waliyo zungumza mwana Chomoza usikose kutizama Clouds tv wiki hii siku ya J/pili kuanzia saa 12 jioni hadi saa 1:00 usiku.Picha hizi kwaajili yako.
Apostle Ndegi akifanya mazoezi ya nguvu.
Nikipata mawili matatu kwake kwa nini ameamua kufanya mazoezi.
Picha 5 ni sebuleni kwa muimbaji Barnabas aliye nieleza mengi kuhusu sehemu B ya yeye na mungu wake.
Huyu ni Mtoto wa Barnabas Stevin.
I like
Mwenzangu hapa nilikua nikijaribu jaribu....
Ma-story akinipatia.Usikose kutizama Chomoza ya Clouds tv wiki hii mwana chomoza.
0 comments: