Friday, May 10, 2013

Baada ya Groove Awards sasa ni Mwafaka Awards Kenya.

By Jimmy  |  10:49 AM No comments

 Nchini Kenya ukizungumzia uweledi wa Gospel hasa kwa vijana na watu wote wanaelewa vizuri.Siku chache zilizo pita kulifanyika tuzo za Groove Arwards tuzo hizi ufanyika mara moja kwa mwaka nchini Kenya.Tuzo za Groove Awards ni tuzo za heshima kubwa kwa muziki wa Gospel kenya,hivyo basi baada ya tuzo hizi kufanyika sasa ni tuzo za MWAFAKA AWARDS.
 Hapo ndipo wenye vipaji vinavyoibuka huhisi inaweza kuwa nafasi yao ya kupata tuzo.
Taarifa kutoka vyanzo vyetu ni kwamba tuzo za mwafaka zimejipanga kurudi tena hivi karibuni baada ya shoo nzuri ya mwaka jana. Tuzo za mwafaka ni hafla iliyopangwa kwa lengo la kuwatangaza na kuwapa tuzo wasanii waliopo na wale wanaochipukia katika muziki wa injili.
Tuzo za Mwafaka zitafanyika baada ya tuzo za groove na wasanii wetu wa muziki wa injili watapata nafasi ya kupata tuzo kama shukrani kwa kueneza injili ya Yesu Kristo.
Blog tutaendelea kukufahamisha kuhusu tarehe na namna tuzo hizo zitafanyika

 Willy Paul kushoto ni muimbaji anaye kimbiza kupitia muziki wa injili kenya.



Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP