Iko semina inayoendelea Chuo cha usafirishaji Mabibo chini ya Mwalimu,Blogger Samuel Sasali.Semina hiyo inafanyika ndani ya familia ya TAFES,semina hiyo ni ya siku 3.
Wanafunzi wakiwa makini kusikiliza.
Dada Love meno kenu!!
Mkurugenzi wa huduma ya wanafunzi ya kanisa la VCCT akifundisha semina ya vijana yenye mlengo ya kumfanya kijana atambue wajibu wake kwake,kwa kanisa na kwa Taifa!
Vitendo vikiusika.
0 comments: