Waimbaji wa mziki wa injili kushoto Miriam Lukindo,Bahati Bukuku,Ambwene na Emmanuel Mabisa wakiwa kwenye studio za Standard Radio.
Umati wa watu walio jitokeza tamasha la Sifa Tanzania.
Levis akiwa na Miriam Lukindo
Emmanuel Mabisa na Miriam Lukindo.
Shiiii!!
Waze wa GT wakifanya kweli.
Paul Clement kama kawaida yake.
Kulia ni Mkurugenzi Wa "Sifa Tanzania" Mr. Prosper Mwakitalima akieleza jambo.
0 comments: