The new Glorious Celebration.
Siku ya jana kupitia kipindi cha GT ya Clouds Fm kinachoongozwa na Pastor na Mtangazaji Harris Kapiga. Kwenye show hiyo alikuwa na kundi jipya la Glorious Celebration ambalo siku za usoni baadhi ya waimbaji wa kundi hili waliweza kujitoa na kuanzisha kundi jipya la Glorious worship Team.Kundi hili ninaliita jipya kwakuwa sasa limeunda kikosi kipya kinacho ongozwa na Pastor Anthony Kayombo pamoja na Letisia,lakini maono na huduma yao imebebwa na Askofu Ayubu Mwakang'ata.
Mtu wangu wa karibu chukua muda wako kusikiliza walichoeleza Glorious Celebration katika ujio wao mpya 2013.
Mtu wangu wa karibu chukua muda wako kusikiliza walichoeleza Glorious Celebration katika ujio wao mpya 2013.
0 comments: