Thursday, April 18, 2013

HAPPY BIRTHDAY MKUU WA IDARA YA VIPINDI CLOUDS FM SEBASTIAN MAGANGA.

By Jimmy  |  4:10 PM 1 comment

Kushoto ni Zamaradi wa pili Mkuu wa idara ya vipindi Clouds fm Sebastian Maganga na Adam Mchovu wakianda keki. 
 Mungu akupe maisha marefu Sebastian Maganga.
 
Sebastian Maganga akimlisha keki Adam Mchomvu.
 
 Mama wa Take One ya Clouds Tv Zamaradimketema akilishwa keki na Mr Maganga.
 
 Shughuli ya upakuaji wa mahakuli ilifanyika chini ya Ghea Habibu na Dina Marios.
 Kushoto ni Ray a.k.a Mzee wa kuuza Sauti akiwa na bwana Seba na kitu cha Biliani.
.

 Usifanye mchezo na hiki kikosi cha nguvu kutoka Clouds fm.
 Mamaa wa Leo tena Dina Marios akiwa bize na chakula.
 Kijana wangu Caesar ukipenda muite mbunifu hatari.



Mtaalam Jeddy nakitu cha mfupaaa!!
 Nini tatizo Regina Mwalekwa.
 Wakati nampiga picha hii Musa Hussen alisema yeye ndiye mtu mwembamba katika timu ya Jahazi,hivyo chakula kingii kinahusika kuziba pengo hilo.

 Baba Jonii!!
 Sebastian Maganga akiwa na Caesar Daniel.













Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

1 comment:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP