Jukwaa hili lilifungwa kwa siku mbili tu.Kwa Bongo kama naona mwezi mzima vileee!!
Mwenye kofia ndiye (sound engineer mkuu) na mmiliki wa vyombo vyote vilivyo tumika katika mkutano huo.
Big screen kwa upande wa nyuma ikifungwa
Hivi ndivyo ikionekana kwa mbele ya watazamaji.Hata kama macho yako hayana karoti zakutosha lazima uone vizuri
Majira ya sita usiku Jeddy wakimalizia kazi ya mwisho.Hii ni azina ya sound engineer katika Gospel Tanzania.Mungu mpe maisha marefu
Akiwa makini katika mashine Jeddy.
Viti viwili vinavyo onekana katika picha ndivyo alivyo kalia Pastor Chris na mkewe.
Praise timu ya Pastor Chris
Kija anaye piga drams alitokea the Joyous celebration.Kwa mujibu wa Jeddy a.k.a Keppy junior ana sema huyu dogo balaa weka mbali na watotoo.!!
Kitu nyomiiiiii!!!
Picha ya Camer man huyu nimeiweka kwa wale Blogger wenye vision kama yangu yakuja kumiliki video camers kama hizi.
0 comments: