Mtu wangu wa karibu hizi ni picha chache za tukio kubwa linaloweka historia katika mwaka 2013 baada ya kufanyika tuzo za wakongwe wa muziki wa injili leo Daimond Jubilee.Picha pamoja na matukio mbalimbali ya tamasha hili zitafata mtu wangu wa karibu
Meza kuu ya wageni waalikwa.
Huyu ndiye Video Camer man wangu wa karibu Mr Haron.Yeye kazi yake kubwa kuakikisha kila tukio alikosekani.Jiandaye kupata show ya nguvu kupitia Clouds Tv soon.
Tuzo zikitolewa
Picha ya viongozi wa serikali na waimbaji wa kongwe.

Ni kitu chema, wabarikiwe waandaaji na wafanikishaji na pia wanamuziki wa injili kwani wamekuwa wakihubiri injili kwa njia ya muziki.
ReplyDelete