Tamsha hili limekua la aina yake baada ya watu wengi kujitokeza kusupport mchango wa wakongwe wa mziki wa injili.Wachungaji na wageni waalikwa kutoka katika ngazi za serikali walikuwepo kutoa mchango wao katika tamasha hilo.Mwaandaaji wa tamsha hili alizungumza na Blog nakueleza baadhi ya changamoto ambazo amekutana nazo ni upingamizi mkubwa katika kuwatunuku wakongwe wa mziki wa injili vyeti.
Na sambamba na hilo alipigiwa simu na kutaka kushtakiwa na basata kwa
sababu ya kuandaa tamasha la wakongwe na kuhojiwa na redio moja na
kuulizwa maswali magumu sana,ila kama ingekua sio mpango wa Mungu na kukubaliana na changamoto hizo basi leo kusinge kuwepo kwa tamasha hilo alisema.Tamsha hilo liliudhuriwa na Mke wa muheshimiwa waziri wa uchukuzi Linna Mwakiyembe na Mbunge Mary Mwanjelwa
Mke wa Mh Linna Mwakiyembe akimpatia tuzo ya heshima Pastor Safari
Upendo Kilahiro
Mkongwe Bishop Charles Jangalason
Mr&Mrs David Nkone Wakongwe.
Mr&Mr Mzungu 4
Mr&Mrs Daniel R Mwasumbi
Mchungaji na Muimbaji
Pastor Abel na Mkewe.
Pastor Safari Paul
Mkongwe wa kwaya ya Lulu Philip Mapembe ya Ng'ombe.
0 comments: