Kupitia Blog ya Swahiba wangu wa karibu Sam wiki moja iliyopita aliweza kuandika mtanzania wa kwanza ambaye Mungu amempa kibali kuweza kuvuka mipaka ya nchi yetu kutokana na taaluma aliyo nayo ya (Sound engineer) huyu si mwingine bali ni Jeddy a.k.a Keppy junior.
Kwa takribani mwezi mmoja alikua South africa katika Training
ya PA system mpya ambayo ameitumia katika event mbili ya Pastar Chris na recording ya keke akiwa South africa.Moja ya zawadi aliyo ni ahaidi baada ya yeye kurudi nikunipatia exclusive ya matukio yote yaliyo tokea akiwa uko mtu wangu wa karibu.
Waimbaji wa Keke.Hii ilikua siku moja kabla ya show
Mtaalam a.k.a Jeddy
Huyu dada kwa mujibu wa Jeddy kazi yake kubwa ilikuwa kufunga light.
Show ikianza
Kitu live mtu wangu.
Keke kama kawaida yakeee
Keke akienda sawa siku ya tukio.Picha sita zinazo fata chini ni uwanja wa Soccer City ama Uwanja wa FNB South africa ambao Pastor Chris Oyakhilome amefanya Mkutano Mkubwa.
Hii ni crew timu iliyo fanya kazi katika mkutano wa Pastor Chris.Picha na matukio makubwa ya Jeddy yatafata mtu wangu wa karibu stay tune.......
0 comments: