ALS ni mtindo wa kutumia ndoo ya maji baridi kuupinga
ugonjwa wa (Amyotrophic lateral sclerosis) kwa kuchangia pesa ya kusaidia
kutibu ugonjwa huo.Mastaa wa kubwa nchini Marekani
na sehemu zingine Duniani wameendelea kufanya challenge hii kwa kutumia mikono kujilowesha na ndoo ya maji au kumwagiwa.
na sehemu zingine Duniani wameendelea kufanya challenge hii kwa kutumia mikono kujilowesha na ndoo ya maji au kumwagiwa.
Kwenye video hiyo hapo chini TD Jakes ameonyesha jinsi gani
alivyoguswa na kampeni hiyo na yeye kuchukua hatu hiyo ya kuungana na mastaa
wengine duniani kama Bill Gates,Melinda Gates na Ernest.Tazama video hiyo hapo chini kwa hisani ya unclejimmytemu.com
I've been a baritone most of my life but today I hit a very HIGH NOTE!!! This was NOT a good idea!! But it is a great cause!! #alsicebucketchallenge @edeweysmith@sherylunderwood @joelosteen You have been challenged!!!!

0 comments: