Monday, September 8, 2014

TETESI ZA MSANI AMANI KUOKOKA INATOKANA NA WIMBO WAKE MPYA "UNANITOSHA"

By Jimmy  |  5:58 PM No comments

Miezi 2 iliyopita baadhi ya blog na vyombo vya habari nchini Kenya vilitangaza muimbaji aliyekua anafanya muziki wa dunia AMANI ameamua kumpokea Kristo katika maisha yake.Haiku rahisi watu kulipokea
ilo na baadhi yao kusema ameamua kutafuta upepe wa Gospel kutokana na kupotea kwenye muziki kwa muda.Amani baadhi ya nyimbo zilizo mpatia umaarufu kabala ya kusarenda kwa Yesu nikama Bad Boy,Without You,Kiboko Changu,na Usiwe mbali nami na nyingine nyingi.

Hii ni record yake mpya UNANITOSHA iliyotoka siku ya jana,na tayari imesikilizwa na watu 690 mpaka sasa.Wimbo huu amemshirikisha Gospel supestar Juliani na Produz Rkay.Enjoy mdau wangu na wimbo huo hapo chini kwa hisani ya unclejimmytemu.com....maoni yako niachie mtu wangu

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP