Video ya Solomoni mukubwa (Mungu Mwenye Nguvu) inawezakua
ndio video inayoongoza kutazamwa na watu wengi kwa nchi tatu Tanzania,Kenya na
Uganda.Kupitia mtandao wa Youtube amefikisha watu Milioni
1,163,854 mpaka
sasa.Ukiacha muonekano wa video hiyo ambayo sio nzuri sana kutokana na
utengenezaji usio mzuri,imekua video yenye umaarufu mkubwa Youtube kutokana na
mashahiri ya wimbo huo kugusa mioyo ya watu na kuwa hudumia watu mbalimbali…Hii
inawezakua ndio video inayotazamwa na watu wengi kwa sasa.
Solomoni Mukubwa amejipatia umaarufu kupitia tungo za nyimbo
zake kwakua sehemu kubwa ya nyimbo zake ni maisha halisi aliyopitia.
Tazama video hiyo hapo chini kwa hisani ya Unclejimmytemu.com


0 comments: