Award winning gospel singer Emmy Kosgei Madubuko siku ya
J/pili alifanya lauched ya album yake ya DVD “Sobei Cheiso” katika ukumbi wa
NPC Valley Road.Watu mbalimbali walifika katika tukio ilo la ainya yake akiwemo
the wife of former prime minister Ida Odinga pamoja na mume wa Emmy Kosgei
Aselm Madubuko and her parents.
Moja kati ya vitu vilivyo leta mguso mkubwa ni pale Emmy
Kosgei alipotumia
live band akichanganya na midundo na skrash za Dj Mo,kufanya kupigiwa shangwe za nguvu.Baada ya
burudani ya muziki wake kulifatia ‘memorable’ alipoanzia muziki wake na mpaka
kufikisha miaka 10 akiwa amedumu kwenye tasnia ya Gospel.Vile vile Emmy
alialika waimbaji wengine ambao walifanya vizuri kama……SARAH K,EUNICE NJERI AND VICK KITONGA,MBUVI,JULIANA
NA MARY ATIENO.Twende sawa na matukio ya picha mdau wangu kwa hisani ya
Unclejimmytemu.com














0 comments: