Kuna mambo mengi nayaona katika hiki kizazi cha kijana mwenye I
phone,I pad,screen touch,mic wher lise pamoja na digital juu yake….ni
sawa na dhambi inapo itafuta reheme na toba kwa bidi punde inapogundua
imetoka njee ya mstari.Kwa muda niliopo kwenye tasnia ya Gospel yenye
upana wake kuna mengi yalinipita hapo nyuma ambayo yalikua chachu ya
kuongeza juhudi na network wakati rafiki yangu Samue sasali
ambaye wengi
wao walisema mengi juu yake hasa connection yake na yangu.
Ngoja
nikuambie sio kila kichwa ni Treni,kuna vichwa vya treni katu huwezi
kuviona kwenye reli yake kazi yake kusogeza mabehewa ya mizigo kwenye
magodauni au kuvusha magari yatokayo kwenye meli kwenda yadi ya
magari.Vichwa vilivyo maalumu kutwa utasikia oni Poooo!! Kikikuomba
ukipishe kipitishe Ngano za Azam Tv au Sukari ya kilombero havi tuli
kwakua viko ulimwenguni kwa kazi.
Leo nimeanza kuona wingu na taswira mpya katika tasnia ya Gospel hasa katika muziki wake,utengenezaji wake,uboreshaji wa video,ubunifu wa kipimo cha mwendo kasi hasa matamasha,pamoja na uwekezaji.Ni wazi kila mtu anajaribu kuonyesha kuna sehemu wanataka kufika,kuna sehemu waingojea kwa sana.Ndani mwangu na picha kubwa ya mabadiliko ya kizazi cha Gospel mana leo macho yameona,masikio yaka sikia.
Leo nimeanza kuona wingu na taswira mpya katika tasnia ya Gospel hasa katika muziki wake,utengenezaji wake,uboreshaji wa video,ubunifu wa kipimo cha mwendo kasi hasa matamasha,pamoja na uwekezaji.Ni wazi kila mtu anajaribu kuonyesha kuna sehemu wanataka kufika,kuna sehemu waingojea kwa sana.Ndani mwangu na picha kubwa ya mabadiliko ya kizazi cha Gospel mana leo macho yameona,masikio yaka sikia.
Neno langu la miaka 2
iliyopita mdogo mdogo siku moia watajua unaweza kulifafanua kwa kadiri
ujuavyo,ila mdogo mdogo ni hatua ya kusubutu na kujaribu ili kuonyesha
tunaweza na wewe umeelewa.Nimeanza kuona kila mtu anafungua TV,wengine
Radio wengine kuleta Sound nzuri,wengine kutengeneza network na marafiki
wa njee yote hayo ni mabadiliko ya mdogo mdogo siku moja
utaelewa.Rafiki yangu Samue Sasali tukiwa sinza Mori nyuma ya Bar ya
Socor Scet aliwahi kuniambia rafiki yangu Jimmy kuna batani
tukiibonyeza kila kitu kitabadilika ndugu yangu,kwani hao walianzaje na
sisi twashindwaje.Tumekua wabishi na wenye kuthubutu hata wakati
mwingine hakuna faida wala tuzo bali ni wito ndani yetu wa kuleta
mabadiliko ya mdogo mdogo utaelewa.Kuna siku yaja sita andika tena bali utanifata nyuma yangu na kutaka kujua subira na kutake time na kungojea wakati wa majira.Leo wapo walio tutangulia na radio,walio tutangulia na website,walio tutangulia na vyombo,walio tutangulia na pesa lakini ni wazi sehemu yao imekua chachu ya kukomaa na kusema haiwezekani lazima tufikie mabadiliko.Mwaka 2015 nauona mwaka wenye mabadiliko kwenye tasnia nzima ya Gospel naziona radio zenye ushidani,naona kijana mwenye uchu na kazi ya Mungu hasa kuiwekea ubora na ustadi mkubwa ndani yake.Mabadiliko haya yatafanya wachungaji kuacha umimi na kukubali kwenda na wakati.Amini ndugu yangu mana kuamini ni zaidi ya kukubali kiakili.
Ngoja ni malize…..
Ebu niambie nani aliwaza leo kutakuja radio E fm,nani aliwaza leo kutakuja TV51,nani aliwaza kutakuja radio Kiango fm,nani aliwaza leo Angel Benard ata kwenda Kenya na kufanya video kwa shilingi milioni 4,nani aliwaza kuwaleta waimbaji kutoka Afrika kusini,nani aliwaza kutakua na website yenye habari za Gospel pasee,nani aliwaza leo kutakua na Chomoza ya Clouds Tv,nani aliwaza kutakua na Comedian za Gospel.Yote ni mabadiliko ya mdogo mdogo siku moja utaelewa tu.Wewe wakati ukibana wengine kuonyesha vipawa vyao Mungu anawatobolezea upande wa pili.Kipaji hakitulii hata kama ukikifungia ndani kama box la first aid kitapenya kwa mana kinaitaji kutoa huduma ya kwanza punde Prospar Mwakitalima atakapo katwa na chupa au kuumia.Mwaka 2015 na 2016 kama ujajenga mizizi sasa utanifata nyuma.
Nimalize kwa kusema kwa msemo wa mwana harakati Fred Msungu juu ya haya yote ambayo wakati mwingine nikama tunajitolea bure kwenye Radio za Christian za watu na hakuna kitu tunacho pata zaidi ya kujenga majina na pesa ndogo ya kujikimu na kuonekana smart mjini na kujenga mtandao mzuri kwakua tuna maono yetu ambayo kwa sasa...........'Nguvu unayoitumia kutumikia maono ya mwenzako ndio nguvu watakaoitumia watu kukutumikia wewe wakati wako ukifika'


0 comments: