Miriam Wanzwa mwenye makazi yake Denmark ameachia record ya
kwanza kutoka kwenye kiwanda cha muziki wa Gospel “KUMANA”.Miriam Wanza
anayefahamika kwa a.k.a mrembo ameachia video ya wimbo huu kwa lugha ya
kilingala akiwa anamanisha “Usifiwe Mungu”
Miriam anakuletea kwako video hii iliyofanyika
Ufaransa chini
ya kampuni ya JACOB Production…kwa sasa Miriam yupo Copenhagen
Denmark akiendelea kutengeneza baadhi ya record zake na soon kupitia
Unclejimmytemu.com utazipata mdau wangu.Tazama video hiyo hapo chini kwa hisani
ya Unclejimmytemu.com enjoy
Kitu Pozi mdau wangu..
Muimbaji Clovis Makola



0 comments: