Victor Aron ni mtangazaji wa kituo cha radio Praise Power fm 99.3 dar....ukiacha kazi anayoifanya Victor ni mkali sana kwenye tasnia ya muziki wa Gospel Tanzania.Mara zote anapoachia record huwa lazima
akuache na maswali,leo kwenye jicho la Unclejimmytemu.com nakupa nafasi ya kusikiliza bonge moja la rumba "NO ONE LIKE U"
akuache na maswali,leo kwenye jicho la Unclejimmytemu.com nakupa nafasi ya kusikiliza bonge moja la rumba "NO ONE LIKE U"
Kwenye rumba hili utamsikia Upendo Nkone,Judith Kisimba,David Isengo, na mtangazaji wa Clouds TV 360 Hudson Kamoga.Enjoy na weekend njema kwako mdau wangu.

0 comments: