Kushoto ni Mc Foma Foma,Mch Ernest Kadiva na Mgeni rasmi Dr.George Fupe.
Mch Ernest Kadiva akiwa na MC Foma Foma
Baada ya makelele mengi kwenye vyombo vya habari hatimaye kwaya ya (KIJITONYAMA) siku ya jana walifanya uzinduzi wa DVD na CD majira ya 8 mchana ambapo maelfu ya watu walijitokeza kutoa support kubwa kwa uinjilisti Kijitonyama.Mgeni rasmi aliye ongoza uzinduzi huo ni
msaidizi wa Askofu kkkt dayosisi ya mashariki na pwani Mchungaji Dr.George Fupe.
Kwaya mbalimbali kutoka kona ya dar es salamu zilijitokeza kupamba uzinduzi huo wa aina yake,kwaya ya Vijana usharikani kijitonyama,kwaya ya AIC chang'ombe,East Africa Community kwaya,Kwaya kuu usharika kijitonyama pamoja na waimbaji binfsi Upendo Nkone na Miriamu Lukindo wa Mauki.
Mch Ernest Kadiva akifungua tamsha ya Kijitonyama siku ya jana..
Binti Afrika Miriam alikwenda sawa siku ya jana.
Mdau wangu picha tatu hizo hapo chini Kijitonyama walipoanza uzinduzi wao siku ya jana
Kijana Allen akienda sawa.
Mutu ya miraba mi-nne Modest Mogan akifanya kweli.
Baada ya uzinduzi nilizungumza na moja ya viongozi wa Kijitonyama Mr Onai kwajili ya wewe mdau wa Chomoza ya Clouds Tv.Usikose kutazama uzinduzi huu ulivyokua tarehe 20/10/2013 katika kipindi no 1 cha Gospel Tanzania CHOMOZA



















0 comments: