Friday, September 20, 2013

RETURN OF THE YAHWE MUSIC MISSION-GODWIN GONDWE,DAVID ROBERT,GAMA DANIE.

By Jimmy  |  10:05 PM No comments

Kupitia ukurasa wa facebook muimbaji wa muziki wa injili David Robert amepost albam walio fanya miaka 12 iliyopita akiwa yeye Godwin Gondwe pamoja na Gama Daniel Mwasumbi.Kwa mujibu wa David Robert anasema huo ni ujio mpya wa Return of the yahwe music mission ambapo kwa sasa wako studio wakifanya albamu ya pamoja itakayo vuta hisia za watu mbalimbali kwani muda tangu walipo achana kutokana na majukumu ya kimaisha.Stay tune mdau wangu kwa ujio mkali wa vichwa hivi vitatu vilivyo fanya kweli miaka hiyo wakiwa mabachela.

 Picha hiyo hapo chini  ni maoni ya watu mbali mbali waki kumbuka ukali wa albamu hii iliyo pewa jina la 'BABA'.Yapata miaka 12 imepita tangau albam hii ilipotoka na kusambazwa na GMC


Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP