Thursday, September 19, 2013

INASEMEKANA DIRECTOR WA KAMPUNI YA BRAYANCE WORKS NDIYE ANAONGOZA MWAKA HUU KUFANYA KAZI NA WAIMBAJI WA KUBWA WA MUZIKI WA INJILI.

By Jimmy  |  9:02 PM No comments

Mdau wangu kwa mara ya kwanza kama inatokea bahati kukutana na director wa kampuni ya Brayance works huwezi amini amefanya kazi nyingi na waimbaji wa kubwa wa Tanzania katika mwaka huu.List ya waimbaji hao ni Matha mwaipaja,Flora Mbasha,Rose Muhando,Masanja Mkandamizaji,Bahati Bukuku,Annastazia Mukabwa,Solomoni Mukubwa,Faraja Ntaboba, na Jennifer Mgendi.Akizungumza na blog anasema ubora wa kazi yake kujituma kwa bidi ndiko kuliko mpa nafasi kufanya kazi na waimbaji hawa wakubwa.
Pili amekua mbunifu wa mazingira tofauti katika video zake tofauti na video ulizo wahi kuziona huko nyuma,amekua akijaribu kuweka ubunifu mwingi ili kusaidia waimbaji wetu wa Gospel kupata video nzuri na zenye muonekano mzuri alisema Mbangwa.Kwa sasa yupo katika utengenezaji wa video mpya ya Malikia wa muziki wa injili Rose Muhando.
Kwa mara ya kwanza video hii itakapo malizika utaiyona kupitia Chomoza ya Clouds tv.
Director wa Brayance works mr Mbangwa on set
 Akiwa na Bahati Bukuku

 Mbangwa na Matha Mwaipaja.
Emmanue Mbasha na mkali Mbangwa.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP